POLISI WAIMARISHA ULINZI WAKATI KATIBU WA JUMUIYA YA TAASISI ZA KIISLAMU ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

  Katibu wa Taasisi za Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda akiwa chin ya ulinzi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. Sheikh Ponda anakabiliwa na kosa la kuvamia kiwanja.
 Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi nje ya jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo wakati Katibu wa Taasisi za Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda alipofikishwa mahakamani
 Baadhi ya watu wakikaguliwa kabla ya kuingia katika Mahakama ya Kisutu leo
 Mahojiano yalifanyika kwa kila mtu aliyekuwa akiingai mahakamani leo
Picha zote na habari mseto blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo