PINDA AAHIDI KUWABANA WAKUU WA MIKOA

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameanza kuwabana wakuu wa mikoa na kuwa yuko tayari kuwawajibisha endapo ataendelea kupokea taarifa zenye kasoro kutoka maeneo wanayosimamia.
“Utawajibika kwa taarifa zenye kasoro katika mkoa wako” alinukuu sehemu ya barua hiyo mkuu wa mkoa Kagera Kanali mstaafu Fabian Massawe amesema hayuko tayari kuwajibika kwa sababu ya uzembe wa madiwani na watumishi na kudai wakati mwingine madiwani huyafumbia macho madudu yanayofanyika ndani ya halmashauri kwa sababu pia wao ni sehemu ya watuhumiwa maneno ya mkuu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo