Mpaka sasa hivi Mh Temba hajapata vifaa vyake vilivyoibwa pamoja na nguo, documents na vitu vingine vilivyokua ndani ya gari ambalo limeibiwa likiwa nyumbani kwake usiku.
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube