RAIS KIKWETE AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KILIMANJARO

Rais Kikwete akiagana na wakazi wa  mji wa Same mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa stendi ya same mapema leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara kwa baadhi ya wakazi wa Same mapema leo kwenye uwanja wa stendi ya Same.

Baadhi ya watu mbalimbali zikiwemo ngoma za asili walimlaki Rais Kikwete.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
 
Baadhi ya Viongozi mbalimbali wakijiandaa kumpokea Rais Kikwete aliyewasili leo Wilaya ya Same kwa ziara ya siku nne mkoani Kilimanjaro.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA FATHERKIDEVU BLOG

JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo