Rais Jakaya KiweteRais anatarajiwa
kuzindua ujenzi wa nyumba Nane za wahanga wa maporomoko ya Ardhi yaliyotokea
Novemba 2009 katika Kijiji cha Goha Kata ya Mamba Miamba wilayani Same, Mkoani
Kilimanjaro.
Katika Maporomoko hayo watu 24
walipoteza maisha huku Kaya 8 zikikosa mahala pa kuishi baada ya nyumba zao
kubomolewa na maporomoko hayo.
Hiyo ni katika utekelezaji wa Ahadi ya Rais
Kikwete yaliyotokea Novemba 2009 kujenga nyumba hizo kwa wahanga hao wakati alipowatembelea kuwafariji.
Rais Pia akiwa Mamba Miamba atapata
fursa ya kufungua Kiwanda cha Kusindika Tangawizi cha Ushirika wa Walima
Tangawizi Mamba Miamba.
Baada ya kufungua nyumba hizo na
Kiwanda, Rais Kikwete atahutubia Mkutano wa hadhara na baadae kuelekea Wilaya
ya Mwanga na kuweka jiwe la msingi hosteli ya wasichana shule ya
Dkt. Asha-Rose Migiro.
Mmoja wa wafanyakazi wa Kiwanda cha
Tangawizi Mamba Miamba, wilayani Same mkoani Kilimanjaro, Omary Kapara
akianika Tangawizi iliyokwisha safishwa kabla ya kuanza uzalishaj.
Mbunge wa Same Mashariki, Mh Anne
Kilango Malecela akiwa katika maandalizi ya mwisho mho Kimejengwa kwa
juhudi zake wisho kabla ya kufunguliwa Kiwanda cha Kusindika Tangawizi
ambacho kimejengwa kwa jitihada zake kama Mbunge.
Habari& PIcha na father kidevu blog