Habari ambazo ni za uhakika za matokeo ya uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Luwumbu wilayani Makete ambazo mtandao huu umezipata zinasema kwamba mgombea udiwani kata ya Luwumbu kwa tiketi ya CCM Mch. Enock Ngajilo (Pichani) ameibuka kidedea kwa kupata kura 565 sawa na 93.4%
huku mgombea wa CHADEMA Raphael Kyando (pichani) akiambulia kura 40 sawa na 6.6%.
Katika uchaguzi huo vyama wiwili (CCM & CHADEMA) ndio vilishiriki uchaguzi huo