Baadhi ya wanahabari
Wanahabari wa Iringa mchana wa leo wamegoma kupokea taarifa ya awali ya uchunguzi wa kifo cha Mwandishi Daudi Mwangosi, aliyeuawa juzi jumapili katika mkutano wa ndani wa Chadema uliokuwa ufanyike katika kijiji cha Nyololo Iringa.
Wanahabari wa Iringa Wakitoka nje ya ofisi
Wanahabari wa Iringa mchana wa leo wamegoma kupokea taarifa ya awali ya uchunguzi wa kifo cha Mwandishi Daudi Mwangosi, aliyeuawa juzi jumapili katika mkutano wa ndani wa Chadema uliokuwa ufanyike katika kijiji cha Nyololo Iringa.
Mkuu huyo
alikataa shariti la wandishi la kumtaka atoe taarifa hiyo bila kuwepo
kwa polisi yeyote katika mkutano huo. Kitendo hicho cha mkuu huyo
kukataa shariti la wanahabari kikapelekea waandishi kutoka nje ya
ukumbi huo.Hivyo zoezi hilo kushindikana.
Picha na habari , Said Ng'amilo, Mjengwablog-Iringa.