Waandishi
wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makaburini
Wakiwa
wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko
Hapa
wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele
Mwili wa Marehemu
Daudi Mwangosi ukiwa Tayari katika Kaburi
Shughuri
za kuzika zimeanza
Mazishi yanaendelea
Mke
wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa kwa machungu
Mke
wa Daudi Mwangosi, Itika Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika
Kaburi la Marehemu Mumewe
Watoto
wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa
Ni
ngumu sana Kuamini kwa mke wa Marehemu lakini hali ndivyo ilivyo kuwa
akiwa na huzuni kubwa
Dk.
Slaa akiweka Shada la Mauwa
Dk.
Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho
Mh.
Mark Mwandosya akiweka Taji la maua pamoja na mke wake
Rais
wa UTPC akiweka shada la Maua
Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua
Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua
Mwandishi
Mkuu wa Mbeya yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za
Mwisho katiaka Kaburi
Wananchi wakiwa
wanarejea baada ya mazishi
Waandishi
wa Habari wakichukua Tukio Live
Na huu Ndio Mwisho wa tukio zima la Mazishi ya Ndugu yetu,
Mwanaharakati, Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa Mwandishi wa Chanel
10.
Mke wa aliyekuwa Mwandishi wa
Habari wa Kituo cha Channel Ten, Itika Mwangosi akiaga mwili wa mumewe
marehemu Daud Mwangosi wakati wa ibada ya mazishi.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG




















