Makamu Mwenyekiti wa CUF Machano Khamis,
akimtambulisha Mgombea wa Chama hicho Issa Khamis, kwa Wananchi wa
Jimbo la Bububu katika Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni uliofanyika
katika viwanja vya Skuli Bububu.
Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akitowa sera za Chama
chake kwa wananchi waliofika katika uzinduzi wa kampeni katika
viwanja vya skuli ya bububu jana
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CUF Machana Khamis,
akizinduwa Kampeni za Uchaguzi wa Chama chake katika viwanja vya skuli
ya bububu jana
Mgombea wa Chama cha CUF Issa Khamis akijitambulisha kwa
Wananchi wa Jimbo la Bububu wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Uchaguzi
Mdogo unaofanyika kutokana na Kifo cha aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo
hilo Salim Amuor Mtondoo
Waheshimiwa wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya
Chama cha CUFya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu
Mwenyekiti wa CUF Taifa Machano Khamis.
Waheshimiwa wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya
Chama cha CUFya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu
Mwenyekiti wa CUF Taifa Machano Khamis.
PICHA KWA HISANI YA FATHERKIDEVU BLOG