Kifusi kikiwa barabarani tayari kwa kazi ya uwekaji matuta
Hili gari nadhani linatimua vumbi kwa mara ya mwisho
Gari la mkuu wa mkoa wa Njombe Aseri Msangi likipita juu ya tuta linaloendelea kijengwa
Afande Chimale kutoka kituo cha polisi makete akishiriki zoezi hilo