Na Kenneth
Ngelesi, Mbeya
AFISA elimu Mkoa Mbeya Juma Kaponda amesema kuwa watuhumiwa wa kwanza katika udanganyifu wa mitihani ya darasa la
saba uliotokea mwaka jana waimamizi wa
mitihani pamoja na walimu wakuu wa shule husika na kusababisha wanafunzi hao
kuihurusiwa kujiunga na kidato cha kwanza wakiwa hawajui kusomo wala kuandika.
Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na R.E.O huyo jiji hapa kwa mwandishi wetu alieye fika ofisini kwake kwa
lengo la kujua ni hatua gani ambazo ofisi yake imekwisha kuzichukua kwa walimu
na wanafunzi walio husuka la udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba kwa mwaka
2011 ambapo wana funzi 265 Mkoa wa Mbeya
walijiunga na kidato cha kwanza wakiwa hawajui kusoma wala kuandika.
Alisema kuwa bado Serikri ina fanya uchubguzi ili iweze
kujiridhisha na ushaidi kwa ajili ya kuwa chukulia hatua walimu wakuu, wasimamizi wanafunzi walihusika katika udanganyifu huo.
Kaponda alifafanua zaidi kuwa ktika mitihani hiyo mtuhumiwa
wa kwanza atakuwa msimamizi wa mtihani ambao hata hivyo alisema kuwa mwaka huu
walimu ambao vituo vyao viliotoa mwanafunzi ambaye hawajui kusoma na kuandika
na akachaguliwa kujihunga na kidato cha kwanza hatarusiwa kusimamamia mtihani
wa darasa la saba mwaka huu.
Alisema walimu wakuu ambao shule zao zilitoa mnwanafumnzi
ambaye hajui kusoma wala kuandika naye atachuliwa hatua kwana kabla ya
mwanafunzi hajatakiwa kwenda kuanza kidato cha kwanana kuna kipengele kinacho
mtaka mwalimu huyo kuidhinisha kwamba mwana funzi huyo anasoifa kujiunfga
kutoiokana maendeleo wa awali akiwa tangu darasa la tano.
‘Ndugu yungu kuna fomu inaitwa TSM9 ambayo inaonyesha
maendelea ya mwanafunzi tangu akiwa
darasa la kwanza kwa hiyo kama mwalimu unakuwa unajua maendeleo yake na
walimu huwa wanajuwajua wanafunzi wanao fanya vizuri lakini inasikitisha kuona mwalimu huyo anaidhinisha
wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza licha kuwa alikuwa na maendeleo mabovu
tangu awali’ alisema Kaponda
Alisema kuwa ofisi yake imejipanga kuhakikisha tatizo hilo
halijirudii tena kwa mwaka huu ikiwa ni pamoja na kuwachulia hatua wale wote
walio husika katika udanganifua mitihani
ya mwaka jana hata hivyo alibanisha baadhi ya adhari ambzo zinaweza kulikumba
taifa kutokana na kuwa peleka wanafunzi wasio na sifa kuijiunga na kidato cha
kwanza wamatatizo ambayo pamjoja kiumpotezea muda mwanafunzi mwenyewe
vkwana ana kuwa amelazimishwa kufanyi kitu ambacho hana sifa ya kukifanya pia matokea
mabovu ya kidato cha nne yanatokana na misingi mibovu katika kuwateua wahitimu
hao amabo baadaye wana kuwa vibaka na majamabazi.
Akizungumzi tatizo la madasa kwa upande wa shule za
sekondari za kata afisa huyoo alisema llimesha pungua kwa asilimia miamoja na kusema kuwa Mkoa wake kwa sasa unakabiliwa
na tatizo la nyumba kwa walimu ambapo mpaka sasa wazo na nguzu zote ni kwa
ajili ya nyumba za walimu.
Alisema shule bila walimu ni kazi bure kwani ni vema ukawa
na mwalimu anaye ishi katika nyumba nzuri kwani anaweza kufanya kazi ya
kufundisha wanafunzi chini ya mti na wakaelewa likini kama mwalimu anaishi
mazingira magumu na shule ipo mbali mwalimu huyohawezi kufanya kazi vizuri na
kumfanya mwanafunzi akafauru vizuri katika mitihani.
‘Mwanafunzi anaweza kufundshiwa chini ya mti ndani ya kanisa
hata kilabu cha pombe
kinaweza kutumika kufundishia lakini siyo mazingira hayo
kwa ajili ya kuishi mwalimu kwa hiyo nyumba kwa walimu wetu ndo kitu chkwaqmnza
lakini siyoi mbaya kwa kuwa tulianza na mdarasa ni vema wana nchi pamoja na
serkaru ikiaekeza nguvu zake kujenga nyumba za walimu’alisema Koponda
Katika kashfa ya udanganyifu wa mitihani darasa la saba wa
mwaka 2011 Mkoa wa Mbeya umo katika kashifa hiyo kwa kutoa wanafunzi 265 wasio jua kusoma wala kuandina huku wilaya za Chunya na Kyela zikiongoza kwa mkoa
huu.