Washiriki Isdori kutoka Pambazuko Fm na Kulita kutoka Ulanga Fm
Katibu tawala Kyela John Komba akifungua mafunzo hayo
Washiriki wakiwa mafunzoni
Bi Rose Kutoka UNESCO akitoa mafunzo
Picha ya pamoja ya washiriki wote wa mafunzo hayo
Studio za redio pekee ya kijamii wilayani Kyela 96.0 Kyela FM
Washiriki nao walipata wasaa wa kutembelea kituo hicho cha Kyela FM
Huu ni mji wa Kyela