TAWI LA WASHINGTON, DC MARYLAND NA VIRGINIA
Tunapenda kuwatangazia wana DMV
wote kwa wale ambao bado hawajaweza kujiandikisha na wanapenda
kujiunga na Chama Cha Mapinduzi tawi la DMV, tafadhali tuma jina, anuani
na simu yako kwa email;.............. pia kwa maelezo zaidi wasiliana
na vingozi wa Tawi Email address:ccmwashdc@gmail.com
1. Loveness Mamuya –
Mwenyekiti…….. 240-423-0437
2.
Yacob Kinyemi – Katibu ……………………. 202-629-7841
3. Lemi Mhando …………………………………..202-361-1059
4. Benjamini Mwaipaja
…………………………….-240-423-6737
5. Given
Kasanju…………………………………………443-433-6968
6. Alawi Omar…………………………………………..301-339-3765
Taratibu za kugawa kadi na
sherehe za ufunguzi wa Tawi zitafanyika rasmi hivi karibuni, mwana CCM
ukipata taarifa hizi mfikishie mwanachama mwingine
Kidumu Chama Cha mapinduzi, CCM
Oyee!
Uongozi wa Tawi CCM DMV.