PICHA ZA UGAWAJI VYETI KWA WAGANGA WA JADI MAKETE


Waganga wa jadi wilayani Makete walioshiriki hafla ya kupatiwa vibali rasmi vya kufanya shughuli za kiganga wilayani Makete
Moja ya mganga wa jadi akikabidhiwa cheti chake na Mgeni Rasmi Bi Lilian Alex ambaye ni Afisa Tawala wilaya ya Makete

Kaimu Mganga mkuu wa wilaya ya Makete Boniphace Sanga akisoma kanuni na sheria za uendeshaji shughuli za tiba asili kwa waganga waliofika kuchukua vyeti vyao


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo