Mara
Mto Mara ambao unaunganisha nchi mbili za Tanzania na Kenya na kuingiza maji yake katika ziwa Victoria umeanza kuathiriwa na mimea mingine halia ambayo inasababisha kuzorota kwa shughuli za uvuvi na utalii kutokana na mimea hiyo kufunga njia ya kupita kwenye mto huo
Wataalamu kutoka shirika la kimataifa la kuhifadhi mazingira duniani WWF baada ya kutembelea mto huo na kujionea uvamizi wa mimea hiyo wameonya kuwa kama shughuli za kilimo karibu na mto huo hazitadhibitiwa kwa nchi za Kenya na Tanzania mto mara unaweza kutoweka
Wavivi nao wamesema ongezeko la mimea ndani ya mto mara hasa mimea ya Matete imesababisha samaki kupungua kwa kiwango kikubwa hali inayopelekea hali ngumu ya maisha kuzidi kuwaandama waVuvi wanaoendesha shughuli zao katika mto huo