Serikali
imetangaza vita na watu waliojenga kinyume cha sheria katika maeneo ya
fukwe zote za bahari chini na kuahidi kuwaondoa hata kama watakwenda
mahakamani kupinga hatua hizo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Prof. ANNA TIBAIJUKA, amesema kwa muda mrefu
Serikali imekuwa ikipigia debe jambo hilo na sasa ni kipindi cha
utekelezaji ili kuepuka athari za mazingira ambazo tayari zimeanza
kuonekana katika baadhi ya maeneo
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi