Dina Marios wa Leo tena Clouds fm jana alipata
meseji kutoka kwa Wastara ambaye yuko na mumewe Sajuki huko India
Alisema alichelewa kupata line ndio maana alichelewa kuwasiliana na Dina Marios.
Dina alimuuliza hospital inaitwaje? hatua za awali, madaktari wanasemaje?
Wastara akajibu Inaitwa Saifee iko Mumbai na huku wamerudia tena vipimo
ili kujua waanzie wapi.Ila dada kuna tatizo limetokea huko nyumbani
Tanzania kuna matapeli wanaifata familia huko na kujifanya wao ni
waganga wanataka kumtibia Sajuki
Yaani sisi wabongo mbona hivyo?
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi