skip to main | skip to sidebar

EDMO BLOG

  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • SIASA
  • BURUDANI
  • MICHEZO
  • PICHA
  • VIDEO
  • VITUKO
  • BREAKING NEWS

MH. SITTA AZINDUA RASMI KAMATI YA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA ITIFAKI YA SOKO LA PAMOJA LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.

By Unknown at Tuesday, May 08, 2012
Waziri wa Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta akisoma hotuba ya Rasimu ya Uzinduzi wa Kamati ya Kusimamia Utekelezaji wa Itifaki ya Soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo amesema utekelezaji wa itifaki wa soko la pamoja hauendi kwa kasi iliyotarajiwa kutokana na sababu mbalimbali, ikiwa ni pampja na nchi wanachama kuchelewa kukamilisha zoezi la kuhuisha sheria zinazosimamia utekelezaji wa itifaki hiyo katika nchi zao.

Ili kukabiliana na changamoto hiyo, Baraza la Mawaziri la Kisekta la Jumuiya la mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Afrika Mashariki na Mipango katika mkutano wao wa 15 uliofanyika Januari 2012 Kampala-Uganda liliziagiza nchi wanachama kuunda kamati za kitaifa za kitaifa za kusimamia Utekelezaji wa soko la pamoja. (National Committee on Common Market Implementation Protocol).
Kwa hisani ya mo blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



Newer Post Older Post Home

LIKE PAGE YETU

Subscribe To

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments

BLOG MARAFIKI

  • MICHUZI BLOG
    DKT MWIGULU AAGIZA MWENDOKASI IRUDI NDANI YA SIKU 10
    1 hour ago
  • JIACHIE
    RAIS MWINYI AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU
    3 hours ago
  • MALUNDE 1 BLOG
    DC MASINDI ABARIKI UMOJA WA MAAFISA USAFIRISHAJI MCHONGOMANI KISHAPU
    4 hours ago
  • EDMO BLOG
    Haya hapa matokeo ya Kidato cha sita 2025
    4 months ago
  • Idawa Online
    LIVE: Tazama matukio mbalimbali mkutano wa MDA Makete unaoendelea hivi sasa
    1 year ago

KUMBUKUMBU YA BLOG

ZILIZOSOMWA SANA

  • WAKULIMA WAMBANA "KOO" MKUU WA MKOA
     Simanjiro.   WAKULIMA wa Kijiji cha Komolo Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wamemlalamikia Mkuu wa Mkoa wa Manyara  kutokana na ...
  • MAMLAKA ZA MAGEREZA AFRIKA MASHARIKI ZATAKIWA KUBADILISHANA UZOEFU KATIKA USIMAMIZI WA ADHABU
     Arusha,    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uganda Hillary Onek ameshauri Mamlaka za Magereza Afrika Mashariki (EAC) kubadilishana uzoe...
  • WAZIRI WA MALIASILI BALOZI KAGASHEKI AKABIDHIWA OFISI RASMI LEO
    Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ezekieli Maige katikati  Akiongea na waandishi wa habari leo .katika. Hafla ya kukabidhi...
  • Mengine mapya yampata Benard Membe
    Siku moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kusema akionana na waliokuwa wanachama wa ...
  • HAFLA FUPI YA MWANAHABARI CONRADI MPILA KUOA
    MC katika shughuli hiyo fupi ya mwanahabari kuoa Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa Daud Mwangosi akinyweshwe pom...
 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo