HIKI KIBAO KINAASHIRIA UPO MATAMBO WA GAS (BIOGAS) INAYOTOKANA NA KIYESI CHA MNYAMA/WANYAMA, NA HII IMETOKEA KATIKA KIJIJI CHA MATENGA KILICHOPO WILAYANI MAKETE AMBAPO KIJANA HUYO ALIYEBUNI UMEME HUO HUMSAIDIA KWA SHUGHULI MBALIMBALI KIWEMO UMEME, KUPIKIA NK., KWANI KJIJI HICHO HAKINA UMEME
HUU NDIO MTAMBO WENYEWE
HUYU NDIO JAMAA MWENYEWE