![]() |
Jackline Wolper mwenye mtandio wa Njano pamoja na waigizaji wengine wakiwa nyumbani kwa Marehemu Kanumba. |
![]() |
Msongamano wa magari mapema asubuhi katika barabara ya Vatican City Sinza nyumbani kwake watu ni wengi mno. |
![]() |
Gari likiingiza maturubai nyumbani kwa Kanumba. |
![]() |
Gari ya Kanumba ikitolewa nje ya nyumba yake ili shughuli za msiba ziendelee ikiwemo kupanga viti na maturubai |
![]() |
Mwigizaji wa Filamu Irene Paul akilia kwa uchungu baada ya kufika msibani akiwa haamini kilichotokea. |
STORI NA PICHA KWA MUJIBU WA MARGORETH RICHARD BLOG