Hapa nikimlisha keki swahiba wangu Kagine wa Upendo photo Studio
Hapa nikimlisha keki Staff mwenzangu Ergon aka Elly
Mapochopocho area
Hapa nikiwa napata msosi na mama yangu mlezi
Baada ya kushiba
Mama Lorence akisema na mic aka kujitambulisha kwa wageni
Hapa ni marabaada ya kupokea zawadi kutoka kwa Mama Samir, nikaona si mbaya nikapata moja ya ukumbusho
Nikiwa na baadhi ya wageni waalikwa
Nikimlisha keki Mama Samir aka Mrs BM
Nikimlisha keki Mama Lorence
Hapa nikimlisha keki Jacqueline
Sio mbaya nikipata picha ya ukumbusho ne ya ukumbi
Wakati wa kucheza yaani noumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....
Tatu wa Kitulo Fm & Mama Lorence
Tatu & Mama Samir
Hapa si wakachoka kucheza
Elly akiwa kwenye pozi la aina yake na Mama Lorence