Mkuu wa wilaya ya Makete Zainab Kwikwega akikagua mradi wa josho katika kijiji cha Matenga kata ya Ikuwo wilayani Makete, mradi ambao amesema upo chini ya Kiwango
Mjumbe wa kamati ya josho akiangalia shimo lililoengwa kwa ajili ya maji machafu,ambapo mkuu wa wilaya amewaagiza kuhakikisha mkandarasi anakua kulijenga kwa kiwango ndani ya siku 30
shimo la maji taka yanayotoka kwenye josho hilo
Hapa mkuu wa wilaya (wa pili kulia)akiwa na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Makete akitoa maagizo baada ya kutoridhishwa na ujenzi wa josho hilo
hii ni sehemu ambayo ng"ombe wanaingilia ili kwenda joshoni!
Mradi huu umegharimu shilingi milioni 26







