MAKETE
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wilayani Makete kinatarajia kufanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya mabehewani wilayani hapo
Akizungumza na Mwandishi wa mtandao huu mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Makete Shaaban Mkakanze amesema lengo la mkutano huo ni kutangaza sera za chama chao pamoja na kuzungumzia kero mbalimbali zinazowakabili wananchi