Msimamizi wa Redio Kitulo Fm Bryceson Chaula (kulia) akiwapa maelezo wageni kutoka UNICEF namna Kitulo Fm inavyofanya kazi
Hapa wageni hao wa UNICEF Joyce na Alice wakipata maelezo na namna Kitulo Fm inavyofanya kazi kutoka kwa Meneja wa Kitulo Fm Edwin Moshi (kulia)