Producer makini Africa Mashariki Timoth Chelula aka TC kwa hivi sasa yupo mbioni kufungua studio yake mwenyewe ambayo anatarajia kuiita TC Music Arts
Akichonga na www.eddymoblaze.blogspot.com TC amesema kuwa hiyo ni miongoni mwa kufikia ndoto zake alizoziwaza siku nyingi
Producer huyo ambaye aliwahi kupiga mzigo Studio 69 na kwa sasa anapiga mzigo katika studio moja kama producer huko jijini DSM
Habari zaidi utazipata kwa kadri atakapokuwa akinijulisha