
Hussein Machozi,Picha kwahisani ya Pro-24
Msanii mwamuziki wakizazi kipya hapa nchini maaruku kama bongofleva, Hussein Machozi aka Mzee wa Utaipenda amesema atazidi kutoa nyimbo kali zenye ujumbe kwajamii kwalengo la kuzidi kuwapa raha mashabiki wake
Machozi ambaye kwa sasa anatamba na kibao kikali cha JELA amesema ni kibao chenye ujumbe mzito kwajamii na ndio maana kinapendwa na jamii na pia kinafanya vizuri katika vituo mbali mbali vya redio na TV hapa nchini
Pia ameahidi kuwa kikubwa anachozingatia ni kutowaboa mashabiki wake, na dawa mojawapo ni kutoa ngoma kali