MSANII ANUFAIKA NA KUNYOA NYWELE

Msanii huyo aliyekubali kunyoa hivi karibuni wakati akitengeneza filamu mpya ambayo alilipwa fedha nyingi za fidia kutokana na kulazimika kunyoa.

Sina aibu, nilikuwa hivyo mwanzoni kabla sijaanza kufuga nywele. Nikiamua mara nyingine huwa navaa Wigi, Nilimuuliza mume wangu akaniambia nimependeza, nilimtumia na picha kupitia simu yangu akaziona,alisema.

Akimzungumzia mumewe anayeishi Uholanzi alisema: Siyo tatizo kwetu, tunaelewana na tunapendana, ananipigia simu kama mara kumi kwa siku, kila usiku kabla sijalala lazima niongee naye.

Sorce:Mwanaspoti


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo