Huyu jamaa ni miongoni mwa washkaji zangu wa karibu sana anaitwa David Nyembe a.k.a DEEZY na anakinukisha Radio Kitulo Fm kipindi cha 970 show, na hapo jana alisherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa Pande za Mbeya, MUNGU akupe maisha marefu brother na hongera kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa, one love!
UKWELI KUHUSU UMEME KUTOKA KENYA
2 hours ago