Watu tisa wanaotuhumiwa kusababisha ajali ya meli ya MV spice Islander (pichani)wamepandishwa kizimbani hi leo huko visiwani Zanzibar
Picha kwa hisani ya michuzi blog
Taarifa zaidi utazidi kuzipata kwa jinsi nitakavyozipata
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi