skip to main |
skip to sidebar
Umeme wazimika mara 2 bungeni Dodoma, Spika aahirisha bunge
Shughuli za Bunge jijini Dodoma leo zimesitishwa hadi saa 10 jioni kutokana na umeme kuzima mara mbili ndani ya dakika tatu.
Spika Dk Tulia Ackson amelazimika kusikitisha shughuli za bunge leo Jumatatu Mei 15, 2023 baada ya kutokea kwa hitilafu hiyo.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi