Baada ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kuwasilisha Bajeti, chini ya Waziri wa Ulinzi Mh. Innocent Bashungwa, Mh. Jescar Msambatavangu Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini amesema,
"Vijna wenye nidhamu, wakakamavu na kuwalea katika maadili hufika pahala sahihi.
"Shule tunazo nyingi, vyuo vingi, ila vijana wanakosa ukakamavu, tuna maafisa kilimo wengi, lakini afisa kilimo huyu anaogopa nyoka mashambani, tukawe wakakamavu na kuwa na ari ya kujiajiri" - Jescar Msambatavangu.