Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni Kigamboni kwa ajili ya kutoa huduma baada ya kukamilika kwa ukarabati wake uliogharimu kiasi cha shilingi bilioni 4.4. Kivuko hicho kiliondolewa kwenye maji baada ya kufikia muda wake wa ukarabati.
Kivuko cha Mv. Kazi charejea Magogoni Kigamboni Kupiga Kazi
By
Edmo Online
at
Friday, January 13, 2023