Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wapya wa wilaya, kuwabadilishia vituo vya kazi pamoja na wengine kubakishwa kuendelea kuwepo kwenye vituo vyao vya kazi, katika taarifa iliyotolewa na kurugenzi ya mawasiliano ya Rais Ikulu hii leo
Tazama orodha hiyo hapa chini:-