Kisa Sensa, mama na mtoto wake watupwa jela

 Mahakama ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imewahukumu mama na mtoto kifungo cha mwaka mmoja jela kila mmoja kwa kosa la kumzuia Afisa wa Sensa, Evody Rwechungura kutekeleza majukumu yake ya Sensa.


Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Hadija Masala anasema watu hao wametenda kosa hilo kinyume na kifungu cha 43 kifungu kidogo cha 3 a na b2 cha Sharia ya Takwimu Sura ya 351 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2019.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo