Waswahili wanasema cheka sana lakini omba yasikukute ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia kisa hiki cha kusikitisha alichokutana nacho kijana mmoja baada ya kukubali kumpokea ndugu wa mke wake ambaye alimwambia kuwa ni mgonjwa na aje nyumbani hapo ili imrahisishie kwenda hospitali kupata matibabu
Lakini cha kushangaza alimfumania na mkewe, na kugundua kuwa hakuwa ndugu yake bali ni mchepuko wake., Nini kilitokea, tazama hapa chini