IDADI ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air imefikia 19

IDADI ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotumbukia katika Ziwa Victoria imefikia 19 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema na kuongeza kuwa serikali inaendelea kufanya uchunguzi wa ajali hiyo.


Majaliwa amesema baada ya hatua za uokozi kuokoa watu 26, ilitarajiwa kuwa idadi ya watu waliokuwa wamesalia kuwa 17 hata hivyo jitihada zimewezasha kuopoa miili 19 sawa na ongezeko la watu wawili katika idadi ya watu 43 waliokuwa kwenye ndege hiyo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo