Mwanafunzi mmoja wa Nigeria amevuma kwenye mitandao ya kijamii baada kubainika kuwa aliuza figo yake moja ili tu amnunulie mpenzi wake simu ya iPhone 14.
Mwanafunzi huyo ambaye jina lake halijabainika anasemekana kuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Port Harcourt (UNIPORT).
Katika picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, mwanafunzi huyo amevalia kaptura ya bluu na t-shirt yake ya bluu kuonyesha tumbo lake ambapo upande wa kulia kuna bandeji kwenye eneo ambalo figo ziko na inaonesha kwamba alikuwa amefanyiwa upasuaji siku chache zilizopita.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi