Ndoa ni Baraka na ni ndoto ya kila mtu mwenye akili timamu,
Pasi na kujali marafiki na familia, mvulana mmoja huko Nigeria aliangua kilio siku ya harusi ya dadake mrembo
Akiwa amevalia gauni la harusi lililo tayari kuishi milele barafu wa moyo wake, bibi harusi alicheza kwa furaha huku kaka yake akilia
Maelezo ya video hiyo yalifichua kuwa mvulana huyo aliona ni vigumu kukubali kwamba dadake hataishi naye tena
Huku familia ya mume inapofurahia kumpokea mtu mpya kwenye familia yao, kwa upande wa kina msichana huwa ni hisia mseto, wengi hujawa na machozi ya kumuaga mwenzao ambaye sasa anavuka na kujiunga na familia ya kina mume, akiiacha familia aliyokulia!
Ndivyo matukio yalivyokuwa katika harusi moja iliyorekodiwa na klipu kupakiwa kwenye mitandao ya kijamii.
Katika video hiyo ambayo sasa imesambazwa mno, mvulana mmoja anaonekana akidhibitisha upendo wa dhati kwa dadake ambaye ni bi harusi.
Ndoa ni Baraka na ni ndoto ya kila mtu mwenye akili razini. Huku familia ya mume inapofurahia kumpokea mtu mpya kwenye familia yao, kwa upande wa kina msichana huwa ni hisia mseto, wengi hujawa na machozi ya kumuaga mwenzao ambaye sasa anavuka na kujiunga na familia ya kina mume, akiiacha familia aliyokulia!