Neno "Habari Mpasuko" Lapigwa Marufuku Kutumika

 

Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) limekemea matumizi ya neno 'Habari Mpasuko' linalotumiwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini kwa maana ya 'Breaking News'.

Katika taarifa yake BAKITA imesema, matumizi ya neno hilo si fasaha wala sanifu, hivyo imeelekeza neno hilo litumike kama 'Habari za hivi Punde'.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo