BREAKING: Wabunge wa Upinzani Wasusa, Watoka Bungeni!


Wabunge wanaounda kambi ya Upinzani Bungeni wamesusia Bunge na kutoka nje ya Bunge hilo, wakati wakijadili bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani ya nchi iliyowasilishwa Bungeni hapo na waziri mwenye dhamana, Mwigulu Nchemba.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema wametoka nje kwa sababu ya kutoridhshwa na jinsi ambavyo Mwenyekiti wa Bunge anavyoendesha kikao hicho, kwani anawanyima uhuru wa kujadili masuala muhimu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo