Kupitia Ukurasa wa Twitter, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole ameandika kwamba "Sasa tofauti iko wapi? wakati mwingine watu wanalaumu tu bila hata kutoa hukumu ya haki. Ni wapi nimewahi kusema Katiba Inayopendekezwa ni nzuri? Tumepewa dhamana kufanya Mageuzi Makubwa ya kimfumo na kurekebisha fikra na tunaifanya kwa uadilifu mkubwa chini ya Ndg. Magufuli
Sasa tofauti iko wapi? wakati mwingine watu wanalaumu tu bila hata kutoa hukumu ya haki. Ni wapi nimewahi kusema Katiba Inayopendekezwa ni nzuri? Tumepewa dhamana kufanya Mageuzi Makubwa ya kimfumo na kurekebisha fikra na tunaifanya kwa uadilifu mkubwa chini ya Ndg. Magufuli https://t.co/wvVEhytdPe— Humphrey Polepole (@hpolepole) March 8, 2018
