Moto wateketeza wanne wa familia moja

Watu wanne wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto mkoani Pwani

Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani Jonathan Shana amesema ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo, katika kijiji cha Magwira wilayani Chalinze, na chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, lakini kimeelezwa kwamba kulikuwa na hitilafu ya umeme.
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema linaendelea kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo, na litatoa tarifa zaidi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo