


Unavyokumbukwa huku mtaani ni Mungu na Malaika wake tuu ndio wanaojua. :-) https://t.co/m9tpvHnjVm— Papy K Tshishimbi (@1960Remija) March 8, 2018

Tukila chakula na ndugu zangu msibani kwa baba yangu mdogo marehemu Said Lumaliza(1917-2018) katika kijiji cha Msigi karibu na Msoga. Hii ndiyo fahari ya maisha ya kustaafu. pic.twitter.com/uDAsiy6JEZ— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) March 8, 2018