
Hassan Simba enzi za uhai wake
Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara Hassan Simba amefariki dunia katika hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo mchana Jumamosi Februari 24,2018.
Hassan Simba alikuwa anapata matibabu baada ya kuugua muda mrefu.
Mungu ailaze Mahali Pema Peponi roho ya Marehemu Hassan Simba. Amina!
Taarifa zaidi tutakuletea