Siku ya Sheria Makete Yafana, Angalia Ilivyokuwa

 Ni furaha tu ilisheheni viwanja vya Mahakama ya wilaya Makete wakati wa maadhimisho ya siku ya sheria nchini yaliyofanyika katika viwanja vya mahakama ya wilaya hii leo
 Wakili wa kujitegemea Rosemarry Wambali akitoa hotuba yake katika maadhimisho hayo
 Wanafunzi wa shule ya sekondari Iwawa wakifuatilia maadhimisho ya siku ya sheria Nchini
Hakimu Mkazi Mwandamizi Mahakam ya wilaya ya Makete Mh Livin Lyakinana akitoa hotuba yake katika vwanja vya mahakama hiyo

 Kiongozi wa dini akisali katika maadhimisho hayo


 Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Makete akizungumza baada ya kumwakilisha Mkuu wa wilaya hiyo Mh Veronica Kessy





JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo