skip to main |
skip to sidebar
News Alert: Madiwani watatu wa Mji wa Tunduma kutoka CHADEMA wahamia CCM
Madiwani watatu wa Mji wa Tunduma akiwemo Diwani wa Kata ya Mpemba Amosi Nzunda, Diwani wa Kata ya Kaloleni Emmanuel Mbukwa na Ayubu Mlimba wa Kata ya Mwaka kati wamehamia Chama cha Mapinduzi leo.
Chanzo cha kuhama kwao ni kile walichokiita “Kuchoka kushikwa masikio”
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi