Lema leo amesema kuwa utu na haki ndio kifo halisi katika maisha yetu.
“Watu wengi wanafikiri kufa ni jambo baya na gumu,lakini ukweli ni kwamba kuishi bila wajibu,utu na haki ndio kifo halisi katika maisha yetu,wewe Tambwe uliishinda hofu .Utaendelea kuishi,” ameandika Lema kwenye ukurasa wake wa Twitter.
Hata hivyo jana alishiriki kampeni za kumnadi Salum Mwalimu(Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni) Tandale mapema jioni kabla ya Vikao vya chama.