Ziara ya Halima Mdee Mkoani Rukwa ilivyokuwa

ZIARA YA BAWACHA - TAIFA
Sumbawanga, Rukwa
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA - BAWACHA Taifa Mhe. Halima Mdee akiwa ameongozana na Katibu wa BAWACHA Taifa Mhe. Grace Tendega pamoja na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Mhe. Suzani Mgonukulima katika kikao na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Rukwa kilichofanyika leo Jumatano tarehe 10 Januari, 2018 jimboni Sumbawanga ikiwa ni sehemu ya ziara ya baraza hilo yenye lengo la ujenzi na uenezi wa chama ikiwa ni pamoja na kuangalia uhai wa baraza hilo na kutoa mwongozo wa shughuli mbalimbali.
Habari - CHADEMA
Kanda ya Nyasa
10 Januari, 2018
Image may contain: 1 person, sittingImage may contain: 4 people, people smiling, people standingImage may contain: 4 people, people standingImage may contain: 5 people, people smilingImage may contain: 7 people, people smilingImage may contain: 4 people, people smiling, people sittingImage may contain: 1 person, sittingImage may contain: 1 person, smiling, standing, child and outdoor


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo