skip to main |
skip to sidebar
Waziri aamua kuacha Gari na Kukimbilia Baiskeli huko Shinyanga
Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiwa kwenye baiskeli yenye madumu akijionea adha wanayoipata wakazi wa Kijiji cha Mwakitolyo katika Wilaya ya Shinyanga, wanapokuwa wakitafuta maji kwa umbali mrefu kutokana na kukosekana kwa huduma ya uhakika ya maji
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi