skip to main |
skip to sidebar
Ulipofikia Ukuta wa Mgodi wa Tanzanite alioagiza Rais Magufuli
Mkuu wa Mkoa, Alexander Mnyeti amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa, JKT kwa kujenga ukuta unaozunguka mgodi wa Tanzanite na mji mdogo wa Mirerani kwa muda mfupi.
Ukuta huo ulioagizwa kujengwa na Rais John Magufuli umeelezwa kukamilika kwa aslimia 92 hadi sasa
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi